MWAMBAMBALE CUP 2011/2012
MICHUANO ya Mwambambale imeendelea katika viwanja
vya Shule ya Msingi Mbata Jijini Mbeya
kwa mechi moja leo huku ikishuhudiwa Mbaspo
Sports Academy
wakiikanyanga Inter
Forest 1-0.
Bao hilo pekee la Mbaspo limefungwa dakika ya 80’
ya mchezo.
Desemba 30 Old Forest
waligagadua Town Star 2-1
Januari Mosi 2012 Uswazi
FC itakuwa na kibarua kigumu dhidi ya Majengo FC.
No comments:
Post a Comment